Monday, April 6, 2015
Home »
» Nay Wa Mitego: sasa nimeamua kufanya collabo na wasanii wa kike tu
Nay Wa Mitego: sasa nimeamua kufanya collabo na wasanii wa kike tu
Nay Wa Mitego ni miongoni mwa wasanii wa Bongo Fleva ambao wameshafanya collabo nyingi na wasanii wengine wa Bongo, na collabo yake ijayo ni wimbo mpya wa muimbaji wa kike Dayna Nyange aliomshirikisha Nay Wa Mitego.
Kupitia Instagram Nay amesema kwamba kuanzia sasa watu watarajie kumsikia zaidi kwenye collabo za wasanii wa kike kuliko wa kiume, yaani kama akifanya na wasanii 10 wa kike atafanya na mmoja wa kiume.
Alipost picha ya kupromote wimbo mpya wa Dayna na kuandika:
“#Dyna_Nyange ft #Mr_Nay #Nitulize #Coming_Soon
Ni moja Kati ya ngoma ambayo nina imani itafanya vizuri sana… Nw nimeamua kufanya collabo na wasanii wa kike tuh kwa asilimia 90%.. wanaume 1 wanawake 10.. “
ads
category2
Business
Follow us on facebook
Contact Form
Formulir Kontak
Gallery
Sports
Entertainment
Pages
Business
Powered by Blogger.
0 comments:
Post a Comment